MAMA AMUUA MWANYE KWA QUR'AN BAADA YA KUONA 'PEMBE' KICHWANI MWA MTOTO HUYO!!



Hiii  ni habari ya kusikitisha ambapo mama mmoja mwenye umri wa miaka 28 alipombana mwanaye puani  kwa kutumia kitabu 'kitufu' cha QUR'AN na kusababisha kifo cha mtoto huyo.

Akizungumzia tukio hilo mama mzazi wa mtoto huyo alitanabaisha kwamba alikuwa katika harakati za kumwokoa asije akaingia katika USHETANI angawa madai yake hayakuonekana kuwa na tija yoyte.

Mama huyo anadai kuwa aliona maluweluwe mengi yakimuandama mtoto wake kila kukicha kwani alikuwa akipandisha mashetani kila siku bila ya sababu yoyote,

Hali ilizidi kuwa mbaya pale mama huyo lipoanza kuona mwanaye akitoka Pembe na paji la uso pamoja na vijiti aina mizabibu vikitapakaa usoni mwa mwanaye huyo.Ndipo uvumilivu ulipomshinda mwanamama huyo na kuamua kutumia kitabu hicho kumkandamiza mwanaye huyo maeneo yote ambayo maluwe luwe hayo yalikuwa yakitokea.

Sehemu kubwa ya ya kichwa ndiyo inayosadikiwa kupatwa na majeraha mengi ambayo yalipelekea mauti ya mtoto huyo ambaye alikuwa na umri wa miaka mitanao tu!!

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter