PICHA:WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA JANA MKOANI MOROGORO WAKIWA WANASAFIRISHWA KWENYE GARI LILILOBEBA CHOKAA...

Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwa jana wakisafirishwa


Mmoja wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter