KALI ya mwaka imetokea katika mitaa fulani huko jijini ABUJA nchini NIGERIA ambapo mwanamke mmoja mabye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alipotoa kihoja cha cha mwaka mara baada ya kuvua nguo zake zote na kubaki uchi wa mnyama.
Inasemekana kuwa mwanamke huyo alifanya hivyo mara baadaya ya kunywa kiasi kingi sana cha pombe na hivyo kufanya mambo ya aajabu mbele za watu.
HEKA HEKA hiyo ambayo ilishuhudiwa na mwandishi wetu aliyekuwepo karibu na maeneo hayo inasemekana kuwa mwanzo wa tukio mwanadada huyo alionekana kuingia katika bar moja maarufu iliyopo maeneo Hayo ambapo alikutana na vijana ambao inasadikika kuwa ni marafiki zake wa muda mrefu ambao inasadikika kuwa walimnywesha pombe kali zenye WHYSKY ambazo zililewsha na kumchanganya kupita kiasi.
WANANCHI ambao walikuwepo maeneo ya karibu na BAR hiyo walishangaa kumuona dada huyo akitoka ndani ya BAR hiyo huku akiwa mtupu kama alivyozaliwa na kuanza kupiga makelele huku akimwaga matusi yba NGUONI.
Baadhi ya watu ambao walikuwa karibu walionekana kuwa na taswira tofauti na tukio hilo kwani baadhi yao walionekana kufurahishwa na kitendo kilichofanywa na mwanamke huyo huku wengine walionekana kumwonea huruma na hivyo kuchukua NGUO na kumsitiri mbele ya umati wa watu.
Vitendo vya ulevi wa kupindukia vimeonekana kushamiri na hivyo mamlaka husika kupewa rai ya kudhibiti vitendo vichafu kama hivi kwani vinaleta aibu katika jamii katika jamii!!
ULEVI KUPITA KIASI NI HATARI JAMANI
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....