MKE AKATA NYETI ZA MUMEWE KUMKOMESHA 'KIMADA' WA MUME WAKE!!


KIOJA cha mwaka kimetokea mwishoni mwa wiki hii ambapo bwana mmoja aliyetambulika kwa jina la John Ajene pale aliporipoti kuwa nyeti zake zimenyofolewa na mkewe wa NDOA aitwaye Mrs. Roseline Ajene.

Akizungumzia mkasa huo kwa masikitiko makubwa bwana JOHN alidai kuwa mkewe huyo alitenda tukio hilo wakati wa usiku ambapo walikuwa wamelala wote kitandani!!

Mke wa JOHN Mrs. Roseline Ajene Alidai kuwa mumewe alikuwa na kimada wa nje ambaye alikuwa namfanya asilale Nyumbani na mara nyingine ashindwe hata kuacha hela ya matumizi.

Mrs. Roseline Ajene  Anadai kuwa tangu mumewe alipoanza tabia hiyo chafu alibadilika GHAFLA na kuanzisha visa vya kila aina na kumpiga hata bila ya sababu yoyote ile.
Ndipo nke huyo alipojichukulia sheria mkononi kwa kuandaa kisu kikali na kumvizia mumewe wakati amelala na kunyofoa NYETI zake bila Huruma.

Kesi imepelekwa mahakamani pamoja na ushahidi ikiwemo kisu kilichotumika kufanya ukatili huo. 

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter