HII NDIO PICHA YA YULE MCHUNGAJI ALIYECHAPWA HADHARANI KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA 8!!





Hatimaye nimeweza kuipata ile picha ya yule mchungaji mbaye likuwa akishutumiwa kwa kumbaka mtoto wa mika 8, mchungaji huyo ambaye ni muumini wa madhehebu ya Pentecostal church alijikuta akiingia matatni mara baada ya watu kumshutumu kutembea na watoto wadogo.

Akiongea kwa uchungu mkubwa baba wa mtoto ambaye alibakwa na na Pastor huyo alisema kuwa "Ni muda kama wa mwezi mmoja nimekuwa nikimsikia mwanangu ELIZABETH akilalamika kuhusu maumvu  ambyo alikuwa akiyasikia katika sehemu zake za siri, na nilipomuuliza sababu ya hayo aliniambia maneno  ambayo yaliashiria kuwa alikuwa akifanyiwa vitendo viovu na Mchingaji huyo"
"Na ni kweli kwani nilishangaa kuona ni kwanini alikuwa akipenda kutembea na mwangu kuliko watoto wengine wote?"

Akiongea huku akitokwa na machozi mzazi wa mtoto huo alidai kuwa mchungaji huyo ni jarani wake wa karibu sana na mara nyingi alikuwa akimfuata kwaajili  ya kumuomba ushauri na msaada mbali mbali.
Mganga mkuu amethibitisha kuwa mtoto huyo alibakwa na kunyanyaswa kinyume cha maumbile, na kudai pia si chini ya vidole viwili viliingizwa katika sehemu za siri za mtoto huyo wakati hayo yakifanyika.

Kesi bado ipo mahakamani na mtuhumiwa anashikiliwana POLISI kwaajili ya mahojiano zaidi!!

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter