FUMANIZI: MUME ANYOFOA NYETI RAFIKI YAKE BAADA YA KUMNASA 'LIVE' AKIZINI NA MKE WAKE!!



MKASA huu wa kusikitisha umetokea huko nchini NIGERIA ambapo bwana mmoja aliyetambulika kwa jinamoja tu  la Gwara pale alipomfanyia umafia rafiki yake wa karibu bwana Brian Munemokwa kosa la kuzini na MKE wake.

Mwandisi wetu akitupasha kuhusiana na mkasa huo mzito anadai kuwa bwana Brian Munemo ambaye ni rafiki wa Gwara  hapo mwanzoni alikuwa na mazoea ya kawaida kabisa na  shemeji yake ambaye ni mke wa rafiki yake.
Bwana huyo amekuwa akitumia muda mwingi kuongea na shemeji ya na hivyo kutia shaka miongoni mwa watu.

Kitu cha kushangaza kabisa mgoni wa kike ambaye ni mke wa Gwara alidai kuwa siku hiyo shemeji yake huyo alimfuata wakati mumewe alikuwa bado hajarudi kutoka kazini na kuanza kumlazimisha wafanye mapenzi  kwa GHARAMA ya $10 tu!!
 Ndipo mke huyo kwa UCHU  na ukata wa fedha alipokubali kuuza mwili wake kwa bwana huyo tena bila aibu akadiriki kufanyia ushenzi huo katika kitanda ambacho alikuwa analala na MUMEWE.

Dunia haina SIRI kwani wakati hayo yakiendelea kumbe majirani walikuwa tayari wameshausoma mchezo huo na hivyo kumuarifu mwenye mke ambaye aliwahi kwenye eneo la tukio na kuwafuma wagoni hao wakiwa katika PENZI  zito kupindukia.

Bwana huyo hakuwa  na huruma kabisa kwani mara baada ya kujionea walichokuwa wanafanya wawili hao ndipo alipoamua kumwangushaia kichapo kizito bwana huyo ambaye alikuwa ni rafiki wake wa muda mrefu na kama hiyo haitoshi mwenye Mke aliamua kunyofoa KENDE  na rafiki yake huyo ambaye kwa uchungu aliamua kupiga makelele kuashiria kuomba msaada.

Ndipo majirani ambao walikuwa karribu walipofika karibu na tukio na kumzuia Gwara asiendelee kumdhuru rafiki yake huyo ambaye alimsaliti.

KESI   hiyo bado ipo mahakamani ambapo inatarajiwa kutajwa hivi karibuni!!

Maoni ya mwandishi:

HIVI HII DUNIA INAELEKEA WAPI JAMANI, KWA NAMNA HII NADHANI HATA WALE VIJANA  AMBAO HAWAJAOA SASA WATAKUWA WANAOGOPA MNO!!

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter